Home » » ZAWADI YA TSH MILIONI 5 KUTOLEWA KWA MWENYE ATAKAYE TOA TAARIFA ZA ALIPO KASSIM MBWANA MCHAWI

ZAWADI YA TSH MILIONI 5 KUTOLEWA KWA MWENYE ATAKAYE TOA TAARIFA ZA ALIPO KASSIM MBWANA MCHAWI

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Wednesday, May 4, 2016 | 3:10 AM

 KASSIM MBWANA MCHAWI 

KAMPUNI YA ASAS TRANSPORTERS LTD  YA  IRINGA INAKUSUDIA KUTOA ZAWADI YA TSH MILIONI 5 KWA MTU  YEYOTE ATAKAYETOA TAARIFA ITAKAYOFANIKISHA  KUPATIKANA KWA BW KASSIM MBWANA MCHAWI  AMBAE ANASAKWA KWA KOSA LA WIZI  WA MAFUTA .

HIVYO IWAPO UNAJUA ALIPO TOA TAARIFA  KITUO  CHA  POLISI KILICHOPO KARIBU NAWE(IR/IR/1575/016) AU WASILIANA  NA KAMPUNI YA ASAS KWA NAMBA  0784 655 555/ 0784 767126 AU 255 262725011 .EMAIL ;info@asasagrouptz.com au asas@raha.com

KUMBUKA ZAWADI  KWA KAZI  NZURI  ITAKAYOFANIKISHA  KUKAMATWA KWA BW KASSIM MBWANA MCHAWI ITATOLEWA MARA TU TAARIFA  HIZO ZAKO  ZITAKAPOFANIKISHA  KUKAMATWA KWAKE.
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA