Home » » Homa ya MERS yasambaa Korea Kusini

Homa ya MERS yasambaa Korea Kusini

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Saturday, June 13, 2015 | 6:05 AM

 
Shirika la afya duniani WHO linasema kuwa mlipuko wa homa ya Middle East Respiratory Syndrome au MERS nchini Korea Kusini na mkubwa na huenda kesi zaidi zikaripotiwa.

Baada ya uchunguzi wa wiki moja shirika la WHO linasema kuwa madaktari nchini korea kusini ambao hawakuhufahamu ugonjwa huo huenda walichangia ugonjwa usambae kwa haraka .

Utawala nchini korea kusini unasema kuwa watu 12 wameambukizwa ugonjwa wa MERS huku 14 wakijulikana kuaga dunia.
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA