Home » » 4 SEASON HOTEL IRINGA KWA CHAKULA BORA

4 SEASON HOTEL IRINGA KWA CHAKULA BORA

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Tuesday, January 6, 2015 | 5:54 AM

Kwa  huduma  nzuri  ya  chakula  cha  kila aina ikiwemo kwenye  sherehe  mbali mbali  tembelea   karibu 4 season Hotel iliyopo barabara  ya kuelekea    Ikulu ndogo kwa  mkuu wa mkoa wa Iringa eneo la Gangilonga  ama  piga  simu 0713882088 au 0717345632
Aina  ya  vyakula  vinavyotengenezwa  4 Season Hotel Iringa


 Kumbuka  pia  tunatoa  huduma  katika  masherehe na  mikutano mbali mbali kwa gharama nafuu  zaidi  kuliko maeneo  mengine  yote  ,huduma  zetu  utazipenda  zaidi
Karibu  sasa  eneo  zuri la  kupata  huduma ya  chakula mjini Iringa la 4 Season Hotel tupo  barabara ya  kuelekea  ofisi ya  mkuu wa mkoa wa Iringa eneo la Gangilonga  kama  unaendelea  Dodoma kwa  barabara  kuu ya Iringa Dodoma  ni mkono wa kulia geti la  chuo  cha  Ruco na  kama  unatoka  eneo la  Kihesa  ni  mkono wa kushoto geti la Ruco uliza  4 Season Hotel ama  piga  simu 0713882088 au 0717345632
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA