Home » » TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA UALIMU SOUTHERN HIGHLANDS SCHOOL

TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA UALIMU SOUTHERN HIGHLANDS SCHOOL

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Wednesday, December 17, 2014 | 2:35 AM


Accessdome.com: an accessible web communityNAFASI ZA KAZI
Southern Highlands School LTD ya Mafinga, Iringa, inatangaza nafasi za kazi za ualimu katika shule yake mpya ya secondary ya MUFINDI HIGHLANDS SECONDARY SCHOOL itakayo kuwepo maeneo ya Kinyanambo ‘C’ Mafinga.
Shule inatangaza nafasi za walimu wa secondary wenye diploma.
Nafasi zipo kwa walimu wa masomo ya sayansi, mathematics, book keeping, commerce, kiswahili na masomo ya arts.
Maombi yawasilishwe shuleni Southern Highlands School kwa maandishi, yaambatanishwe na nakala za vyeti, testimonials na pamoja CV.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30 January 2015.
Ahsante.

Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA