Home » » TUNAKODISHA MALORI KWA BEI YA NAFUU ZAIDI KAZI ZAIDI

TUNAKODISHA MALORI KWA BEI YA NAFUU ZAIDI KAZI ZAIDI

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Friday, October 3, 2014 | 2:11 AM
Mtandao  wa matukiodaima.co.tz unapenda kuwatangazia wananchi  wote wa mkoa wa Iringa na mikoa ya jirani kuwa tumeanzisha huduma ya kukodisha malori kwa ajili ya mizigo mbali mbali .

Malori yetu  ni mapya  kabisa  ni tani 10 yenye uwezo wa kubeba mzigo mkubwa  zaidi

Yanakodishwa kwa  bei nafuu  zaidi  kulingana na  umbali  wa   eneo la  kupeleka  mzigo  kazi  ambayo tunaweza  fanya ni kusomba kokoto,tofari aina zote ,kutoa kifusi katika site ,kusomba kuni ama  mabanzi na   shughuli nyingine  isipo kuwa mawe hatupakii  kabisa

Uwezo  wake mzigo mfano kokoto , mchanga na kifusi ni cubic meter 9 ni  mara tatu  ya matipa  ya kawaida  ,yanabeba  mara tatu mzigo wa  kubebwa mara moja na malori yetu  tupigie simu sasa 0754 026 299, au 0719750199 pia  waweza tembelea www.matukiodaima.co.tz
Kumbuka  tupo  kihuduma  zaidi  si kifaida lengo  kukusaidia 
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA