Home » » PINDA ASHIRIKI KIKAO CHA PPP DIALOGUE./ PINDA AKUTANA NA UJUMBE WA KAMPUNI YA SHIMITOMO

PINDA ASHIRIKI KIKAO CHA PPP DIALOGUE./ PINDA AKUTANA NA UJUMBE WA KAMPUNI YA SHIMITOMO

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Tuesday, September 16, 2014 | 12:50 AM

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Bw. Lord Hollick ambaye ni  Mjumbe wa Masuala ya Biashara wa Waziri Mkuu wa Uingereza nchini  Tanzania katika majadiliano  kuhusu  ushirikiano baina ya serikali na Sekta Binafsi  (PPP Dialogue) kwenye hoteli ya Hyatt Regency- Kilimanjaro jijini Dar es salaam Sept. 15, 2-14. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa  wa Kampuni ya Japani ya  SUMITOMO baada ya kuzungumza nao ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 15, 2014.Kulia kwake ni Rais wa kampuni hiyo, Nakamura Kumharu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA