Home » » NYUMBA HIZI ZINAUZWA ZIPO IRINGA MJINI

NYUMBA HIZI ZINAUZWA ZIPO IRINGA MJINI

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Wednesday, September 10, 2014 | 1:04 AM Nyumba  hii  ipo  eneo la Ilala  inauzwa  Tsh milioni 39
 Mwonekano  wake kwa  pembeni  pia  nyumba ina maji na umeme

 Umbali  wa  mita kama  7 ni barabara ya lami  ina hati  yake kamili
 Nyumba  hii  ipo  Ndiuka ina maji  inauzwa Tsh milioni 29
 ina huduma ya maji  imepigwa  lipu ndani umeme nguzo  ipo  nje  ila maeneo haya  bado hayajapimwa mkataba  upo
Mwonekano  wake wa nyuma
kutumba kwa mawasiliano na maelewano  zaidi  wasiliana nasi kwa namba  0754 026 299
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA