Home » » MIPANGO YA MWISHO YA WENGER KABLA YA KAZI YA LEO USIKU

MIPANGO YA MWISHO YA WENGER KABLA YA KAZI YA LEO USIKU

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Tuesday, September 16, 2014 | 8:08 AM

Kocha Arsene Wenger, jana alitumia muda wake mwingi kuzungumzia masuala ya ufundi huku akikumbushia Arsenal inapokutana na timu za Kijerumani.

Wenger amewaeleza vijana wake kuhusiana na nini cha kufanya kiufundi akiamini Borussia Dortmund si timu ya lelemama.
Arsenal iko ugenini kuwavaa Dortmund katika mechi ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Mechi hiyo inatarajiwa kuwa ngumu kutokana na ugumu wa wakali hao.
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA