Home » » MANCHESTER CITY WAACHIA UZI MPYA 'MOTO'

MANCHESTER CITY WAACHIA UZI MPYA 'MOTO'

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Tuesday, September 16, 2014 | 8:03 AM


David Silva akionyesha jezi mpya ya Manchester City
There is 
less material on the sock to enhance players¿ touch
Hii ndiyo jezi kamili mpya ya tatu ya Man City
 
KLABU ya Manchester City imetoa jezi mpya za tatu zitakazotumiwa na mabingwa hao wa Ligi Kuu ya England katika michuano ambayo watashiriki msimu huu.
Klabu hiyo inazindua jezi hizo kuelekea kwenye mchezo wake wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Bayern Munich Jumatano na zitatolewa rasmi kwa ajili ya mashabiki kuanzia Septemba 25.
Taarifa ya City kwa vyombo vya habari, imesema: "Chini ya wingu la kiza hizi jezi zinaonekana zinawaka, kama zinatiwa nguvu ya betri na zitatoa mwangaza fulani wa rangi uwanjani,".
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA