Home » » ADEBAYOR APEWA UNAHODHA SPURS

ADEBAYOR APEWA UNAHODHA SPURS

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Tuesday, September 16, 2014 | 8:05 AM


Saluti kwa Nahodha; Emmanuel Adebayor amereuliwa kuwa Nahodha Msaidizi Spurs chini ya  Younes Kaboul 
 
NYOTA wa Togo, Emmanuel Adebayor ameteuliwa kuwa Nahodha Msaidizi wa Tottenham Hotspur, chini ya Mfaransa Younes Kaboul.
Mfaransa huyo ameiongoza Spurs mara kadhaa msimu huu kama nahodha wa mechi na sasa kocha Mauricio Pochettino amempa moja kwa moja beji hiyo akirithi mikoba ya beki Michael Dawson, aliyehamia Hull City mwezi uliopita.
Adebayor atakuwa Nahodha Msaidizi pamoja na kipa Hugo Lloris.
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA