Home » » Robin van Persie, Steven Gerrard na Luis Suarez ni majina yaliyoongoza msimu ulopita kwa mauzo ya jezi.

Robin van Persie, Steven Gerrard na Luis Suarez ni majina yaliyoongoza msimu ulopita kwa mauzo ya jezi.

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Tuesday, August 12, 2014 | 8:27 AM

rvp
Imethibitishwa mshambuliaji Robin van Persie ndiye mchezaji maarufu zaidi kwenye ligi kuu ya England,hii ni kutokana na jezi yake kuuzwa sana msimu uliopita.
Utafiti uliofanywa unaonyesha Van Persie ameibuka kidedea mbele ya wakali wa Liverpool Steven Gerrard pamoja na mshambuliaji aliyehamia klabu ya Real Madrid ya Hispania Luis Suarez.
luis
ozil
hazard
Hii ndio orodha kamili ya majina ya wachezaji yaliyoongoza kwa mauzo ya jezi msimu wa 2013/2014 nchini England.
top 10
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA