Home » »

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Wednesday, August 13, 2014 | 3:47 AM

MWENDOKASI BADO NI CHANZO CHA AJALI ZA BODABODA MKOANI IRINGA

Ramadhani mungi

Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Laurent Kafwela (40) mkazi wa
Mapogoro mkoani Iringa afariki dunia wakati akikimbizwa hospitali
baada ya kugongwa na pikipiki ambayo haikuweza kufahamika namba zake za usajili.


Akizungumza na mtandao huu wa www.matukiodaima.com kamanda wa polisi mkoani hapa ACP Ramadhani Mungi alithibitisha kutokea kwa tukio hilolililotokea mnamo tarehe 01 Agasti majira ya saa 3 za usiku katikabarabara ya Idodi – Tagamenda iliyopo wilaya ya Iringa Vijijini.

Kamanda alisema marehemu aligongwa na mtu aliyefahamika kwa jina laMfaume Kirangi ambaye ni Mwenyekiti wa Kitongoji cha Idodi ambaye alikimbia baada ya kufanya tukio hilo hivyo anatafutwa na Jeshi la polisi.


NA DIANA BISANGAO WA MATUKIO DAIMA.COM, IRINGA
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA