Home » » KUELEKEA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA WAZIRI DR WILIAM MGIMWA AGUSTI 14 MWAKA HUU NA SHUGHULI MBALI MBALI ALIZOFANYA KATIKA UHAI WAKE

KUELEKEA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA WAZIRI DR WILIAM MGIMWA AGUSTI 14 MWAKA HUU NA SHUGHULI MBALI MBALI ALIZOFANYA KATIKA UHAI WAKE

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Saturday, August 9, 2014 | 5:56 AMMbunge wa jimbo la Kalenga Dr wiliama Mgimwa na mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Ritta Moto Kabati (CCM) wakiweka shada la maua katika msiba wa mama mzazi wa spika Makinda ilikuwa ni  

May 8, 2011


Mbunge wa  jimbo la Kalenga Dr  Wiliam Mgimwa akikabidhi  hundi  ya Tsh milioni 2 kwa  uongozi wa shule ya  sekondari Lyandembela enzi  za uhai  wake
,
Mbunge wa  jimbo la Kalenga Dr  Wiliam Mgimwa akiandika hundi ya Tsh  milioni 2 kwa ajili ya kuchangia   ujenzi  wa shule ya  sekondari Lyandembela mwaka  juzi 
 Mbunge wa  jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa kushoto na diwani wa Mvinjeni Frank Nyalusi  wote  Chadema  wakiwa na Dr Mgimwa  enzi za uhai  wake.

 Mbunge  wa  jimbo la Kalenga  Dr Wiliam Mgimwa  enzi  zake akiwa na wanafunzi wa shule ya  sekondari Lyandembela 
Dr Mgimwa  akikagua  maendeleo ya  shule ya Msingi kibaoni kata ya Ifunda  enzi  za uhai  wake

Rais  Dr  Jakaya  Kikwete kulia  akisalimiana na waziri  Dr Mgimwa  enzi  za uhai wake  katika  uwanja  wa ndege Nduli  Iringa 

Rais  Dr  Kikwete  wa nne  kulia akiwa na    mkuu  wa mkoa  wa Iringa Dr Christine Ishengoma  kushoto,  mbunge wa  jimbo la Ludewa  Deo Filikunjombe, mbunge wa  jimbo la Njombe Kaskazin Deo  Sanga mwenye kijani , mbunge wa  jimbo la Kalenga na  aliyekuwa waziri wa fedha  Dr Wiliam Mgimwa  enzi za uhai  wake  walipotembelea  jimbo la Ludewa 
 Mbunge wa  jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa kushoto na diwani wa Mvinjeni Frank Nyalusi  wote  Chadema  wakiwa na Dr Mgimwa  enzi za uhai  wake.

 Mbunge  wa  jimbo la Kalenga  Dr Wiliam Mgimwa  enzi  zake akiwa na wanafunzi wa shule ya  sekondari Lyandembela 
Dr Mgimwa  akikagua  maendeleo ya  shule ya Msingi kibaoni kata ya Ifunda  enzi  za uhai  wake

Rais  Dr  Jakaya  Kikwete kulia  akisalimiana na waziri  Dr Mgimwa  enzi  za uhai wake  katika  uwanja  wa ndege Nduli  Iringa 

Rais  Dr  Kikwete  wa nne  kulia akiwa na    mkuu  wa mkoa  wa Iringa Dr Christine Ishengoma  kushoto,  mbunge wa  jimbo la Ludewa  Deo Filikunjombe, mbunge wa  jimbo la Njombe Kaskazin Deo  Sanga 
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Familia ya  mheshimiwa Godfrey Mgimwa  mbunge wa jimbo la Kalenga  inapenda  kuwashukuru  wakazi  wa  jimbo la Kalenga  mkoani Iringa na watanzania  wote  waliopo nchini na  wale waliopo nje ya nchi kwa ushiriki  wao  mkubwa katika kuuguza na hadi mazishi ya  marehemu  babake  mpendwa  Dr Wiliam Mgimwa  aliyekuwa mbunge wa jimbo la kalenga na  waziri wa  fedha .

Familia inapenda  kutoa shukrani nyingi kwa  wote  na ilipendeza kutoa mkono wa  shukrani kwa  kila mmoja ila tunaomba  kwa  salam hizi  pia iwe  sehemu ya  kushikana mkono .

Hata  hivyo familia inapenda kuwaalika  wote kwa  umoja  wetu nyumbani kwa marehemu  kijiji  cha Magunga kwa ajili ya misa ya  kumaliza msiba  ,misa  itakayofanyika Agosti 14 mwaka huu hivyo  tunawaomba  wananchi  wa Kalenga na wale  waliopo nje ya Kalenga  kufika  kuungana katika kuhitimisha 40 ya mpendwa  wetu .

Ifahamike  wazi kuwa  familia na  watanzania kwa ujumla tulimpenda  sana baba yetu na  kiongozi wetu ila Mungu alimpenda  zaidi  yetu 
Hivyo hatuna budi  kusema  jina lake Bwana na  lihimidiwe milele yote

Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA