Home » » FERDINAND ASAINI MIAKA MIWILI READING

FERDINAND ASAINI MIAKA MIWILI READING

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Monday, August 11, 2014 | 10:47 PM

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 alikuwa akiichezea Antalyaspor lakini ameamua kuondoka Uturuki na kurudi nyumbani. Ilifikiriwa kwamba mdogo huyo wa Rio, aliyewahi kuchezea West Ham alikuwa tayari kusaini Mkataba na Polisi United ya Thailand, lakini akaamua kurejea England. 
"Nimekuwa mbali na soka ya England kwa mwaka na nimekuwa na wakati fulani mgumu,"amesema Ferdinand. "Uturuki ni sehemu nzuri kwenda na kucheza soka, lakini mambo fulani nje ya Uwanja hayakunipa fursa ya kucheza soka yangu haswa,". 

Amerudi nyumbani: Beki wa zamani wa QPR, Anton Ferdinand akiwa ameshika jezi ya Reading baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA