Home » » ARTETA NAHODHA MPYA ARSENAL, MSAIDIZI WAKE MERTESACKER

ARTETA NAHODHA MPYA ARSENAL, MSAIDIZI WAKE MERTESACKER

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Monday, August 11, 2014 | 6:15 AM

Mustakabli wa Arteta katika klabu bado hauko wazi sana, lakini inaonekana kwa kukabidhiwa uongozi wa wachezaji wenzake, mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 atabaki Arsenal msimu huu. Per Mertesacker ameteuliwa kuwa Nahodha Msaidizi.
Cheo: Mikel Arteta amateueliwa kuwa Nahodha mpya wa Arsenal
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA