Home » » AGUERO AJITIA PINGU NZITO MAN CITY

AGUERO AJITIA PINGU NZITO MAN CITY

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Friday, August 15, 2014 | 3:20 AMBado yupo sana Etihad: Sergio Aguero amesaini mkataba mpya Manchester City wa miaka mitano


KLABU ya Manchester City imewekeza jumla ya Pauni  Milioni 175 kikosini make ndani ya siku nne, kufuatia mshambuliaji Sergio Aguero kuaini Mkataba mpya wa miaka mitano na mabingwa hao wa Ligi Kuu ya England Alhamisi usiku.


Mshahara mpya wa Aguero wa Pauni 150,000 kwa wiki umethibitishwa baada ya kusainishwa pia mikataba mipya kwa kiungo David Silva na beki Vincent Kompany ambao watadumu Etihad hadi mwaka 2019. City iliianza wiki kwa kutoa Pauni Milioni 32 kumsajili beki wa FC Porto, Eliaquim Mangala anayeweka rekodi ya beki ghali katika historia ya soka ya Uingereza. na fredy mgunda
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA