Home » » WATANZANIA WAISHIO READING UINGEREZA WAFURAHI KUKUTANA NA WAZIRI MKUU PINDA

WATANZANIA WAISHIO READING UINGEREZA WAFURAHI KUKUTANA NA WAZIRI MKUU PINDA

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Saturday, July 12, 2014 | 2:16 AM
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu  (kulia) wakiongozana na Madona Pemba (kushoto) , mtanzania aishie Uingereza kuelekea kwenye ukmbi wa mikutano  ili kuzungumza na watanzania waishio Reading 
  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi ya mipira  kutoka kwa watanzania waishio Reading nchini Uingereza  kabla ya kuzungumza nao jana kushoto ni Mwenyekiti wa Umoja wa Watanzania waishio Reading, Hussein Chang'a.

  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu  (kulia) wakisalimiana na baadhi ya watoto na wazazi  waliohudhuria mkutano kati yake na watanzania waishio Reading Uingereza jana Julai 10, 2014
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA