Home » » MBUNGE MGIMWA AWA KARIBU ZAIDI YA WANANCHI WAKE ,AKATISHA ZIARA KWENDA KUSHIRIKIA MAZISHI KIJIJI CHA LYAMGUNGWE

MBUNGE MGIMWA AWA KARIBU ZAIDI YA WANANCHI WAKE ,AKATISHA ZIARA KWENDA KUSHIRIKIA MAZISHI KIJIJI CHA LYAMGUNGWE

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Sunday, June 8, 2014 | 1:20 AM


Mbunge wa  jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa (kulia) akishirkkiana na katibu  wake Martin Simangwa kuweka shada la maua baada ya kukatisha  ratiba ya ziara yake ya kuwashukuru wananchi wa kata ya  Mgama na kwenda kushiriki mazishi hayo ya mpiga kura  wake marehem Kasian Kalolo
Ndudu wa marehemu Kalolo  wakiweka shada la maua
Familia ya kalolo ikiweka shada la maua
Waombolezaji wakiwa katika mazishi hayo wakimsikiliza kwa makini mbunge Mgimwa aliyefika kuungana nao  katika mazishi hayo jana
Mtani wa  wahehe Mgoni akiweka shada la maua

Mbunge Mgimwa na katibu wake Simwangwa wakisogea kutoa pore kwa  wafiwa
Mbunge Mgimwa kulia akiwa na katibu wake Bw Simwangwa na diwani wa kata ya Mgama Denis Lupala wakati wa mazishi ya mzee Kasian Kalolo  katika kata ya Lyamgungwe
Mbunge Mgimwa kulia akiwapa pore familia
Wananchi  wakimpongeza katibu wa Mgimwa
Mbunge Mgimwa akitoa pore kwa  wafiwa katika msiba wa mzee Kasian Kalolo
Mbunge Mgimwa akiwapa pore wafiwa kwa kumpoteza baba yao mzee Kalolo
Mbunge Mgimwa na waomboleza wengine  wakiondoka makaburini baada ya kumaliza mazishi
Mkazi wa Lyamgungwe kulia akifurahi ushiriki wa mbunge Mgimwa katika mazishi ya mwanakijii mwenzao
Mbunge Mgimwa akijiandaa kuingia katika gari kuanza safari ya kwenda bungeni Dodoma baada ya kumaliza shughuli ya mazishi
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA