Home » » MZEE WA MATUKIODAIMA AWEKA REKODI KUPANDA MLIMA KILIMANJARO ,WANAHABARI IRINGA HOI AMBULENCE YATUMIKA KUOKOA JAHAZI

MZEE WA MATUKIODAIMA AWEKA REKODI KUPANDA MLIMA KILIMANJARO ,WANAHABARI IRINGA HOI AMBULENCE YATUMIKA KUOKOA JAHAZI

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Wednesday, December 11, 2013 | 9:26 PM


Mmiliki wa  mtanmdao huo mzee wa  matukiodaima kulia akipunga mkono sanjari na mwandishi wa Mjengwa Blog baada ya kuweka rekodi ya aina yake kwa  wanahabari Iringa kwa  kupanda mlima Kilimanjaro kutoka Getini hadi kituo cha kwanza cha Mandara kwa saa 1.45 badala ya masaa 3 kama ilivyokawaida huku mzee wa matukiodaima Bw Francis Godwin akishika nafasi ya kwanza kufika eneo hilo akifuatiwa  na Daniel Mbega kutoka Mjengwa blog na Abukarim Mshana kutoka radio QBRATEN huku baadhi ya  wanahabari kutoka Iringa wakishindwa kushuka na kulazimika kushushwa na  gari la  wagonjwa (AMBULENCE)

 Mwanahabari Mbega akiwa eneo la Mandara
 Mzee wa matukio Daima kulia ambae aliongoza kupanda mlima Kilimanjaro akiwa na mpiga picha mkuu wa TANAPA Mussa Mandia ,Mwandishi wa Nuru Fm Victor Meena na mwandishi wa Mwananchi Iringa Hakim Mwafongo ambao walijitahidi kumfukuza mzee wa matukio daima ktk kupanda mlima Kilimanjaro
 Bw Mussa Mandia akiweka  sahihi kitabu cha  wageni baada ya  kufika kituo cha kwanza  cha Mandara mlima Kilimanjaro
Mzee wa matukiodaima akipongezwa na waongoza watalii mlima Kilimanjaro baada ya kupanda mlima kwa muda mfupi zaidi
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA