Home » » ZITTO KABWE NA DR KITILA MKUMBO WANAZUNGUMZA NA WANAHABARI SASA SIKILIZA RADIO CLOUDS FM

ZITTO KABWE NA DR KITILA MKUMBO WANAZUNGUMZA NA WANAHABARI SASA SIKILIZA RADIO CLOUDS FM

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Sunday, November 24, 2013 | 2:06 AM


Taarifa inatolewa kuwa Mheshimiwa Zitto Kabwe pamoja na Dk Kitila Mkumbo wanazungumza  na wahariri na waandishi wa habari leo Jumapili tarehe 24 Novemba 2013.  na  sasa  wapo hewani radio Clouds Fm wakitumia nafasi hiyo  kutoa maoni na msimamo wao kuhusu maamuzi ya Kamati Kuu ya CHADEMA ya hivi karibuni. 
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA