Home » » USIKU WA IRINGA INTERNATIONAL SCHOOL ULIVYOFANA

USIKU WA IRINGA INTERNATIONAL SCHOOL ULIVYOFANA

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Saturday, November 16, 2013 | 4:58 PM


Mwenyekiti  wa  bodi   ya  Iringa International School Bw  Salim Asas  katikati  akiwa na  wajumbe  wake mwanahabari maarufu nchini  Maggid Mjengwa  kulia na aliyepata  kuwa waziri wa wizara  tofauti Joseph Mungai wakifuatilia matukio mbali mbali  wakati wa hafla ya usiku  wa shule hiyo uliokutanisha  wadau mbali mbali na wanafunzi ,shule  hiyo imetimiza  miaka 20  toka  ilipoanzishwa kwake ipo Gangilonga mjini Iringa
 Waendesha  sherehe  Ma Mc wakiratibu mambo
 Baadhi  ya  wadau  wakifuatilia matukio katika hafla hiyo kubwa  kwa shule  hiyo

 Wanafunzi  wa  shule   hiyo  wakipagawisha  wadau  kwa  wimbo maalum 
 wanafunzi  hao  wakionyesha uwezo  mkubwa  wa  kuimba

 Wimbo  maalum ukiimbwa  mbele  ya  wageni waalikwa

 Mjumbe  wa  bodi  ya  shule  hiyo mchungaji Mpeli Mwaisumbe na mkewe  mchungaji Neema Mwaisumbe wakifuatilia hafla  hiyo
 Kijana  akionyesha  kipaji chake


Wadau  wakiendelea  kufuatilia sherehe  hiyo

 Waalikwa latika hafla  hiyo  wakipata  chakula cha aina mbali mbali
 Wasanii wa  kundi  la Magic site  wakipagawisha  waalikwa
 Baadhi ya  wanahabari  wa vyombo mbali mbali  wakifuatilia  hafla  hiyo

 Picha  mbali  mbali za  matukio  ya shule  hiyo yenye  wanafunzi  zaidi ya  100

 Wasanii  kutoka shule  hiyo  wakionyesha  burudani

Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA