Home » » MAHAFALI YA 43, CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (UDSM) YAFANA LEO MLIMAN CITY HALL

MAHAFALI YA 43, CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (UDSM) YAFANA LEO MLIMAN CITY HALL

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Monday, November 18, 2013 | 7:08 AM

wahitimu wa chuo kikuu cha Dar es salaam, wakiwa mbele ya mgeni rasmi tayari kwa kutunukiwa shahada zao.
Fatihiya Mohamed (wa pili kushoto) akiwa tayari kwa kutunukiwa shahada ya uzamili ya biashara na uongozi.
wahitimu wakisubiri kusogea mbele ili kukabidhiwa shahada zao. 
Fatihiya na wahitimu wenzake wakisikiliza jambo  wakati wakisubiri kutunukiwa shahada zao za uzamili ya biashara na uongozi.(picha na Andrew Singu ofisa habari bima ya afya )

Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA