Home » » KUNA TETESI ZA KUWEPO KWA MGOMO CHUO CHA RUCO IRINGA

KUNA TETESI ZA KUWEPO KWA MGOMO CHUO CHA RUCO IRINGA

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Wednesday, November 20, 2013 | 8:49 PM
Kwa habari  ambazo  tumezipata  hivi  punde kutoka  mjini Iringa  zinadai  kuwa  kuna uwezekano mkubwa wa  wanafunzi wa chuo  cha Ruaha (RUCO) mjini Iringa kuingia katika mgomo asubuhi ya  leo  wakipinga vitendo  mbali mbali vya manyanyaso  ambayo  wamekuwa  wakifanyiwa  chuoni  hapo.

Kwa  habari zaidi  endelea  kufuatilia mtandao  huu  utakujuza  kwa  chochote  kitakachotokea
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA