Home » » AJALI YA BODA BODA ASUBUHI HII MJINI DODOMA

AJALI YA BODA BODA ASUBUHI HII MJINI DODOMA

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Tuesday, November 19, 2013 | 10:35 PM


 Boda  boda  yenye namba za usajili T 622 BVF ikiwa  imepata ajali  eneo la mkuu  wa wilaya   mjini Dodoma baada ya  kutaka  kulipita  gari kushoto
 Hili  ndilo  gari  lililogongwa na boda  boda asubuhi ya leo mjini Dodoma
 Askari  wa  usalama  barabarani  wakifika  eneo la tukio  na  kushoto ni  vijana  wanaofanya kazi  ya kukamata  madereva  ambao  wanasababisha  ajali za kizembe
Hakuna  aliyejeruhiwa  katika ajali  hiyo iliyotokea  mida ya saa 2.45 asubuhi ya  leo
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA