Home » » TANGAZO !TANGAZO ! SHAMBA HEKARI 10 LINAUZWA KILOLO KWA KIASI CHA TSH MILIONI 3.5

TANGAZO !TANGAZO ! SHAMBA HEKARI 10 LINAUZWA KILOLO KWA KIASI CHA TSH MILIONI 3.5

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Tuesday, October 1, 2013 | 12:43 AM


Shamba  linauzwa ni  zuri  kwa  kupanda miti ya  aina mbali mbali ya  mbao  ni nguzo  za  umeme pia  chai  inakubali na  mazao ya chakula  .

sifa  la  shamba  hili lina ukubwa wa hekari 10 sehemu ya shamba  tayari  limepandwa miti  ya mbao na  karatasi  miti aini ya paina 

Shamba  lipo  kijiji cha Lusinga wilaya  ya Kilolo mkoani Iringa linauzwa k uanzia Tsh milioni 3.5 maelewano yapo  tupigie  simu 0754 026 299/0712750199
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA