Home » » RAIS DR JAKAYA KIKWETE AZINDUA RASMI MNARA WA 3G WA VODA COM MKOA WA NJOMBE APONGEZA

RAIS DR JAKAYA KIKWETE AZINDUA RASMI MNARA WA 3G WA VODA COM MKOA WA NJOMBE APONGEZA

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Saturday, October 19, 2013 | 12:10 AM


Rais  Dr Jakaya  Kikwete  akizindua  rasmi  mnara  wa mawasiliano  wa kampuni  ya Voda com  wenye  kasi ya ajabu ya 3G  katika mji  wa Njombe mkoa  mpya  wa  Njombe  leo kabla ya  kuzindua  rasimi mkoa  wa Njombe leo
Mkuu wa  wilaya ya  Njombe  Sarah Ndumba akiwa na watenda kazi  wa Voda  Com Sam Mwalimu na Nguvu Kamando  kulia
Mkuu  wa  wilaya ya  Njombe Sarah Dumba kushoto akimsubiri Rais Kikwete  kuzindua mnara wa 3G wa Voda Com mkoa wa Njombe
Wafanyakazi  wa Voda Com  wakisubiri kumpokea Rais Kikwete
Ofisa  mawasiliano  wa Voda Com Sam Mwalimu akifafanua jambo
Rais Kikwete  akiwasili  kuzindua mnara  wa Voda Com mjini Njombe
Wafanyakazi  wa Voda Com wakipiga makofi wakati Rais Kikwete  akizindua mnara  wa 3G mjini Njombe
Rais Jakaya  Kikwete wa  tatu  kulia akiwa na mkewe mama Salma  pamoja na mkuu  wa  mkoa wa Njombe Aser Msangi kulia wakipata maelezo  kutoka kwa mwakilishi wa kampuni ya Voda Com Tanzania Bw Nguvu Kamando kuhusu   mnara  wa  3G uliojengwa mjini Njombe
Head of Network Perfomance wa  Voda  Com Tanzania Nguvu Kamando  akitoa  taarifa  kwa  Rais Jakaya Kikwete  juu ya mkakati  wa Voda Com  kuendelea  kuwafikia watanzania  waliopo pembezoni  zaidi
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA