Home » » MTANGAZAJI MKONGWE JULIUS NYAISANGA AFARIKI DUNIA

MTANGAZAJI MKONGWE JULIUS NYAISANGA AFARIKI DUNIA

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Sunday, October 20, 2013 | 1:57 AM


 
Habari mbaya na zenye kusikitisha ambazo mtandao huu umezipata kutoka mkoani morogoro asubuhi hii ni kuwa mtangazaji mkongwe hapa nchini Julius Nyaisanga maarufu kama "Uncle J" (pichani) amefariki dunia

Kwa mujibu wa chanzo chetu taarifa za kifo chake zimezagaa asubuhi hii na bado haijafahamika zaidi sababu za kifo chake

Hadi Julius Nyaisanga anafariki dunia alikuwa meneja wa kituo cha redio Abood FM cha mjini Morogoro, na alijulikana sana tangu akifanya kazi Redio Tanzania sasa hivi inajulikana kama TBC Taifa na Redio One stereo

Endelea kusoma blog hii tutakuletea taarifa zaidi za masiba huu mzito kwa jinsi tunavyozidi kuzipata
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA