Home » » MATUKIO YA UZINDUZI WA MKOA WA NJOMBE KATIKA PICHA

MATUKIO YA UZINDUZI WA MKOA WA NJOMBE KATIKA PICHA

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Saturday, October 19, 2013 | 12:19 AM


Rais  Jakaya  Kikwete  akizindua rasmi  mkoa  wa Njombe
Mbunge  wa  jimbo la Ludewa  Deo Filikunjombe akionyesha kitabu maalum alichopewa na  Rais  Kikwete  kabla ya  kuzindua mkoa wa Njombe katika  uwanja  wa Saba saba
Wadau  kutoka  mkoa  wa Iringa  waliofika  kushuhudia  hafla ya  uzinduzi  wa mkoa  wa Njombe
Halaiki  wakicheza mbele ya  Rais Kikwete wakati  wa uzinduzi  wa mkoa  wa Njombe
wanahabari  wakifuatilia  matukio ya uzinduzi  wa mkoa mpya wa Njombe  kulia ni bloga maarufu nchini Tanzania Issa Michuzi
Rais Kikwete  akigawa  vitabu  vya mkoa  wa Njombe kwa  wabunge  kulia ni mbunge wa  jimbo  la  Ludewa  Deo Filikunjombe akisoma kitabu hicho
Wazee wa Njombe  wakimvisha  Rais  Kikwete vazi maalum la kichifu  kabla ya  kuzindua mkoa  wa Njombe

Mtoto  aliyekuwa akicheza halaiki  akiwa amepoteza fahamu baada ya  kuanguka ghafla  wakati  wa  kuimba  wimbo wa Taifa
Benk ya NMB yazidi  kuwafikia  wananchi yakabidhi  hundi ya TSh milioni 20  kwa  ajili ya kuhamasisha maendeleo ya  mkoa wa Njombe
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA