Home » » JUKWAA LA WAHARIRI WA HABARI TANZANIA WATEMBELEA SHAMBA LA MIFUGO LA ASAS DAIRIES LTD IRINGA

JUKWAA LA WAHARIRI WA HABARI TANZANIA WATEMBELEA SHAMBA LA MIFUGO LA ASAS DAIRIES LTD IRINGA

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Saturday, October 26, 2013 | 12:53 AM


 Wahariri wa vyombo mbali mbali  vya habari nchini Tanzania wakimsikiliza kwa makini mkurugenzi  wa Asas Dairies Ltd Bw  Salim Asas Abri wakati  akitoa maelezo ya  shamba  lake la mifugo baada ya  wahariri hao kutembelea  shamba  hilo eneo la Nduli Iringa jana
 Bw Asas akitoa maelezo ya jinsi anavyoendesha  shamba  hilo bora  la mifugo Iringa  kwa  wahariri  wa habari nchini
 Mhariri  wa gazeti la Taifa  Tanzania  akimtazama  ng'ombe wa  kisasa katika  shamba  hilo la Asas Dairies Ltd
 Wahariri  wa  vyombo  vya habari nchini  wakitazama ng'ombe wa  kisasa katika  shamba la mifugo la Asas Dairies Ltd baada ya  kutembelea  shamba  hilo jana eneo la Nduli nje kidogo na mji  wa Iringa
 Baadhi ya  wahariri  wa  vyombo  vya habari nchini wakipiga  picha ng'ombe za  kisasa katika  shamba la Asas Dairies Ltd baada ya  kutembelea  kujifunza ufugaji katika  shamba  hilo jana

 Hawa ni nyati maji ambao  walisambazwa na baba  wa Taifa  hayati mwalimu Juliaus Nyerere  miaka  hiyo wakitokea nchini Misri japo kwa  sasa katika lanchi za Taifa imebaki  historia ila hapa katika shamba la mifugo la Asas  Dairies Ltd  wapo
 hawa  ni ndama  waliozaliwa ndani ya  wiki mbili hizi

 Mkurugenzi wa shamba la Asas Dairies Ltd akiwatembeza  wahariri wa vyombo vya habari nchini katika shamba lake

 Hapa  Asas  akiwaonyesha  njia ya  kisasa ya kuzalisha ng'ombe  jike  pekee kwa ajili ya maziwa  kwa njia ya kisasa

Jukwaa la  wahariri wa  vyombo  vya habari nchini Tanzania  wakiwa katika  picha ya pamoja na mkurugenzi mtendaji wa shamba la mifugo la Asas Dairies Ltd Bw  Salim Asas Abri katikati  na kushoto kwake mweye miwani na suti ya kaawia  ni mwenyekiti wa  jukwaa  hilo Bw Absolom Kibanda
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA