Home » » WASHIRIKI WA TAMASHA LA TGNP WAKIWA KATIKA MIJADALA MIKALI YA KIJINSIA -LIVE

WASHIRIKI WA TAMASHA LA TGNP WAKIWA KATIKA MIJADALA MIKALI YA KIJINSIA -LIVE

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Wednesday, September 4, 2013 | 5:50 AM Vijana  wakiwa  katika  warsha  ya  vijana  katika  tamasha la  TGNP  linaloendelea  sasa
 Mwezesheji wa  kundi la  vijana  akiendelea  kutoa mada  huku  vijana  wakipinga suala la mimba za  utotoni

 Semina  wa  ulaghabishi  ikiendelea
MENENGAGE NETWORK TANZANIA, Mtandao unahamasisha ushiriki wa wanaume katika afya ya uzazi Bi Juliath Rangi  akiendelea kuwapa  somo  washiriki  wa  warsha  hiyo


 
 watoto  wakiwa katika  warsha  yao katika  tamasha la  TGNP leo

Watenda kazi wa  TGNP Lilian Liundi  na Kenny Ngomuo wakifuatilia  warsha  za  makundi  leo

 wajasilia mali  mbali mbali  wakiendelea  na maonyesho ya  bidhaa zao  leo

 Washiriki  wakiwa katika viwanja  vya  tamasha  la 11 la TGNP  leo
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA