Home » » TUPO ZIARANI MTO KILOMBORO LEO

TUPO ZIARANI MTO KILOMBORO LEO

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Wednesday, September 11, 2013 | 2:36 AM


Wafanyakazi  wa  shule ya  Sekondari Bravo Ifakara Bi Zubeda Mwakilachile na mwalimu Ally Mswete mwalimu wa taalum katika  shule  ya Bravo kulia akiwa na mmiliki wa mtandao  huu mzee  wa matukio  daima katikati ,leo  kikosi  cha mtandao  huu tupo ziarani wilaya ya  Kilombero kutazama fursa mbali mbali  zilizopo  huku na changamoto  zinazowakabili  wananchi wa pembezoni
wafanyakazi  wa  shule  ya  sekondari Bravo Ifakara wakiwa katika  picha ya pamoja na mzee wa matukio  daima katikati leo kando ya mto  Kilombero
wadau  wakiwa katika picha  ya pamoja  katika  kivuko  cha kwanza cha mto Kilombero ambacho  kilizama  na kusababisha  vifo vya  abiria  wake miaka  hiyo kivuko cha KIU
Huu  ndio  mto  Kilombero
Mvuvi  akiandaa samaki kwa ajili ya  kuuza ambapo kama  hawa kulia ni Tsh 1000
mwalimu Ally Mswete wa  shule ya  Sekondari Bravo Ifakara  akipata  kitoweo cha  samaki wa  mto Kilombero leo
Hiki ni  chakula  cha asili  kwa wakazi wa Kilombero kijulikanacho kama pepeta  ni mchele  uliotwangwa  ukiwa bado mbichi lita  mmoja  ni Tsh 1500 na  hii  ndio  zawadi  yangu  kubwa kwa  wazaliwa wa Kilombero  waliopo nje  ya  Kilombero kwa  leo
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA