Home » » TANGAZO ! TANGAZO! SHAMBA HEKA 20 IRINGA LINAUZWA BEI POA

TANGAZO ! TANGAZO! SHAMBA HEKA 20 IRINGA LINAUZWA BEI POA

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Sunday, September 22, 2013 | 6:26 AM


Shamba  hili heka 20  lililozungushiwa  miti ya  nguzo za  umeme na ndani ya  miaka miwili  unaweza  vuna mbao linauzwa  pia  shamba  hili linafaa kwa  kilimo cha mazao mbali mbali  kwani  lina  rutuba  ya kutosha iwapo ni mfugaji weweza litumia kwa ufugaji ama kujenga shule  ,kiwanda  n.k 

Shamba  hili  lipo eneo  la Ifunda  jirani na shule  ya sekondari  Ifunda eneo la Lyandembela  kwa  mawasiliano tugigie simu 0754 026 299/0712 750 199 au 0789281030
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA