Home » » KOTI LA WAZIRI WA FEDHA LAPEWA HESHIMA KAMA WAZIRI LAPEPERUSHIWA BENDERA YA TAIFA

KOTI LA WAZIRI WA FEDHA LAPEWA HESHIMA KAMA WAZIRI LAPEPERUSHIWA BENDERA YA TAIFA

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Friday, September 27, 2013 | 4:54 AM


Hili ni gari la  waziri  wa fedha   na uchumi Dr Wiliam Mgimwa likipita maeneo ya  posta mjini  Iringa leo majira ya saa 4 asubuhi  huku mbele katika  kiti cha waziri  likiwa limewekwa koti na dereva  kupeperusha bendera kiasi cha askari  wa  usalama barabarani  kulipigia saruti  koti hilo
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA