Home » » HARUSI YA ALBART NYALUKE NA NEEMA YAFANA MUFINDI

HARUSI YA ALBART NYALUKE NA NEEMA YAFANA MUFINDI

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Sunday, September 29, 2013 | 1:45 AM


Bwana  harusi  Albart Nyaluke akiwa amembeba  juu juu bibi harusi Neema Kamwella wakati  wa  kuingia ukumbini usiku  wa jana   sherehe  iliyofanyika  ukumbi wa Chelesi kalinga Mufindi
 Mama mzazi  wa Bwana harusi  akiingia kwa  furaha  ukumbini
 Mawifi  wa bwana harusi  wakifurahia

 Bwana harusi  akicheza muziki wa injili Waimbaji  nguli wa nyimbo  za injili  kutoka KKKT usharika wa kanisa kuu wakiburudisha
 Bwana  harusi  akifanya  utambulisho  wa ndugu
 Fikiri Nyaluke  akifungua  shampeni ukumbini


 Wakati  wa  kujiachia  kwa  shampeni  ni huu

Kaka  wa  bwana harusi Bw Rodrick Nyaluke  akiongoza kumpongeza  bwana  harusi
Bwana  harusi Albart Nyaluke ambae ni mwanahabari  wa  kujitegemea  mkoani Iringa anayeandikia gazeti la Jamhuri  akiwa na ubavu  wake Neema Kamwella  wakipiga  picha  huku  wakichuma chai katika mashamba ya Chai ya Uniliver Mufindi baada ya  kutoka kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania (KKKT) ushariki wa Tumaini Kibao  kufunga ndoa yao
Iwapo  unahitaji  sherehe  yako kuweka hapa  waweza  tupigia  simu 0754 026 299/0712750199 pia  tunatoa  huduma ya  kupiga  picha  za Video na mdando katika  sherehe  mbali mbali 

TANGAZO ! TANGAZO! SHAMBA HEKA 20 IRINGA LINAUZWA  TSH MILIONI 12
Shamba  hili heka 20  lililozungushiwa  miti ya  nguzo za  umeme na ndani ya  miaka miwili  unaweza  vuna mbao linauzwa  pia  shamba  hili linafaa kwa  kilimo cha mazao mbali mbali  kwani  lina  rutuba  ya kutosha iwapo ni mfugaji weweza litumia kwa ufugaji ama kujenga shule  ,kiwanda  n.k 
Shamba  hili  lipo eneo  la Ifunda Kibaoni  jirani na shule  ya sekondari  ya  la Lyandembela  kwa  mawasiliano tupigie simu 0754 026 299/0712 750 199 au 0789281030
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA