Home » »

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Friday, September 20, 2013 | 2:28 AM

WANAFUNZI SEKONDARI YA LIPULI IRINGA WAIFAGILIA VODA COM ,WADAI HAKUNAGA KAMA VODA COM

Mkuu  wa  shule ya  Sekondari Lipuli  iliyopo  jimbo la Kalenga Iringa Bw Alex Kyanga kushoto akimkaribisha  kwa  furaha mkuu  wa kitengo cha M- Pesa na ukuzaji  biashara  wa kampuni ya simu ya Voda Com Bw Jackson Kiswaga ambae  alikuwa akipita jirani na shule  hiyo iliyofadhiliwa na Voda Com ujenzi wa madarasa mawili na walimu na wanafunzi kulazimika kumwomba kufika kumpongeza kwa kazi nzuri
Baadhi ya  walimu  wa sekondari ya Lipuli Iringa wakimsikiliza Bw Kiswaga
Moja kati ya madarasa mawili  yaliyojengwa kwa ufadhili wa Voda  com Tanzania shule ya sekondari Lipuli
mkuu  wa kitengo cha M- Pesa na ukuzaji  biashara  wa kampuni ya simu ya Voda Com Bw Jackson Kiswaga akiwasalimia  wanafunzi wa sekondari ya Lipuli  leo
Bw Kiswaga wa Voda  Com akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Lipuli leo,ambapo  wanafunzi  na uopngozi wa shule hiyo  wamepongeza kampuni ya Voda Com Tanzania kwa kusaidia  kuinua elimu nchini kwa kusaidia ujenzi wa vyumba viwili  wa madarasa shuleni  hapo na kusema hakunaga kama Voda Com Tanzania, huku  wakimpokea  mkuu  huyo wa M-Pesa kwa shangwe na kutaka afikishe salam kwa uongozi wa Voda Com kwa kazi  hiyo nzuriShare this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA