Home » » AJALI NYINGINE TENA IRINGA NI YA BODA BODA ENEO HILO HILO LA MSHINDO

AJALI NYINGINE TENA IRINGA NI YA BODA BODA ENEO HILO HILO LA MSHINDO

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Monday, September 30, 2013 | 11:34 AM Wanandoa  wakisaidiwa  baada ya  kuanguka na boda boda  eneo la mshindo huku chanzo  cha ajali  hiyo ni nguo aliyojitanda  mwanamke  na kuingia katika taili la nyuma kabla ya  kuanguka Nguo ikiwa imenasa katika taili la pikipiki hiyo na kusababisha ajali  mbaya
 Wasamaria  wema  wakisaidia  kutoa nguo aina ya  kikoi ambayo  ilisababisha ajali  nguo  hiyo alikuwa amejitanda mwanamke  huyo ambae  alikuwa abiria katika boda  boda  hiyo kabla ya  kumvuta dereva pembeni na kuanguka

Mke  wa mwendesha boda boda iliyopata ajali akiwa amejeruhiwa katika mguu  wake  baada ya ajali hiyo usiku  huu eneo la Mshindo
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA