Home » » AJALI MBAYA USIKU HUU IRINGA MTOTO WA MFANYABIASHARA ABRI ANUSURIKA KIFO

AJALI MBAYA USIKU HUU IRINGA MTOTO WA MFANYABIASHARA ABRI ANUSURIKA KIFO

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Monday, September 30, 2013 | 11:24 AM


 Askari  polisi  Iringa  wakiolitazama  lori lililoacha njia na  kugonga  magari  mawili bri ambae  amenusurika  katika ajali  hiyo  iliyotokea  eneo la Mshindo  mjini Iringa  muda wa saa 2 usiku

 Hili  ndilo  lori  lililosababisha  ajali  chanzo kikiwa ni Breck kushindwa  kufanya kazi  vema

 Hili ndilo gari la Faraji Abri  ambalo  limegongwa  vibaya  ubavuni na  lori  hilo Lori lililosababisha ajali  baada ya  kugonga magari  mawili  kisha  kuparamia  ukuta  usiku  huu
 Kushoto ni magari  mawili  yaliyogongwa na lori  hilo eneo la Mshindo usiku  huu


 Hili  ndilo gari alimokuwemo Bw  Faraji Abri ambae amenusurika  katika ajali  hiyo iliyotokana na uzembe wa  dereva  wa lori lililokuwa  limebeba  tofari  kutoka  eneo la Samora  kuelekea katikati ya mji wa Iringa

 Umati  wa wananchi  wa mji  wa Iringa  wakishangaa ajali  hiyo

Hapa ndilo  lori  hilo lilipohama  njia na kuyagonga magari hayo mawili ambayo yalikuwa katika saiti yake
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA