Home » » TANZANIA NI NCHI YA AMANI NA INAYOVUTIA WATALII , HAPA MZUNGU AKICHEZA KIDUKU

TANZANIA NI NCHI YA AMANI NA INAYOVUTIA WATALII , HAPA MZUNGU AKICHEZA KIDUKU

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Monday, August 12, 2013 | 10:40 PM


 Mbali ya  vivutio  vya  utalii  vilivyopo  mikoa ya  kusini  ikiwemo  hifadhi kubvwa ya  Ruaha Iringa ,Kitulo na maporomoko ya mto Kimani  bado tamaduni  za wana Iringa  zimeendelea kuwa  kivutio  kwa  wageni kama hapa  mzungu  huyo  akishirikiana na  wakazi wa mjini Iringa  kucheza mchezo wa  kiduku


Karibuni  wageni Tanzania  karibuni  kutembelea  hifadhi  zetu  kwani Tanzania ni nchi ya amani  na utulivu tele
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA