Home » » RIPOTI MAALUM YA KUFUNGIWA NA KUTOFUNGIWA KWA BAADHI YA VYUO VYA MAFUNZO YA HOTEL NA UTALII MKOA WA IRINGA IPO MBIONI KUTOKA

RIPOTI MAALUM YA KUFUNGIWA NA KUTOFUNGIWA KWA BAADHI YA VYUO VYA MAFUNZO YA HOTEL NA UTALII MKOA WA IRINGA IPO MBIONI KUTOKA

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Friday, August 16, 2013 | 12:10 AM


Hivi  karibuni katika  mkoa  wa Iringa  kumejitokeza hali ya  kutofahamu kati ya mkurugenzi  wa VETA Kanda  ya  nyanda  za  juu  kusini na baadhi ya  wamiliki  wa vyuo vya  mafunzo ya  Hotel na utalii katika mkoa  wa Iringa na hata  kutangaza  kuvifungia baadhi ya  vyuo na  kuviacha baadhi ya  vyuo .kutokana na hali  hiyo mtandao  huu  wa www.francisgodwin.blogspot.com na www.matukiodaima.com ulifanya uchunguzi  wa  kina kwa  kutembelea  vyuo  vyote  vilivyofungiwa na vinavyoendelea na kazi na ripoti kamili ili  kujua ukweli wake na uozo  wa  vyuo  vya Hotel na utalii mkoa  wa Iringa ipo mbioni kuanikwa hapa ,endelea  kutembelea  mtandao  huu
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA