Home » » RAIS KIKWETE AMWAPISHA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA MPYA JAJI FRANCIS MUTUNGI IKULU DAR ES SALAAM

RAIS KIKWETE AMWAPISHA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA MPYA JAJI FRANCIS MUTUNGI IKULU DAR ES SALAAM

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Monday, August 26, 2013 | 10:21 AM


mu1 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi Ikulu jijini Dar es salaam leo.
mu2 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimmshuhudia  Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi  wakati akitia saini mara baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam leo.
mu4 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimmkabidhi vitendea kazi  Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi Ikulu jijini Dar es salaam leo.
mu7Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na  Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi na viongozi wa vyama vya siasa Ikulu jijini Dar es salaam leo.
 IMG_1836Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu Jaji Francis Mutungi na Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu Mhe John Tendwabaada ya kumuapisha Jaji Mutungi Ikulu jijini Dar es salaam leo
(picha na Ikulu)
 

TUKIO HILI KWA UDHAMINI MKUBWA ,DR. MSEKWA CLINIC IRINGA NI CLINIC YA KISASA MKOANI IRINGA

 Dr Msekwa  Clinic ipo  eneo la Tanangozi wilaya ya  Iringa  barabara  kuu  ya Iringa -Mbeya fika uhudumiwe  sasa


 Dawa  zetu  ni za kisasa  zaidi na  tunatoa huduma ya kukuwezesha  kupona  sio kuendelea  kutabika
Watu  mbali mbali na  viongozi mbali mbali  kutoka ndani na nje ya Tanzania hufika  kutibiwa hapa kwa Dr Msekwa Clinic tupigie  simu+255715 304 008, +255 786 306 503 na +255 754 304008 Pia waweza tazama Video ya Huduma kupitia You tube,Andika DR Msekwa Clinic Iringa
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA