Home » » NDIGELA LODGE NDIUKA IRINGA NI LODGE YA BEI NAFUU HUDUMA BORA

NDIGELA LODGE NDIUKA IRINGA NI LODGE YA BEI NAFUU HUDUMA BORA

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Tuesday, August 13, 2013 | 7:56 AM


 Lodge  hii  inapatikana  eneo la Ndiuka katika barabara kuu ya  Iringa - Dar es Salaam  
 Sehemu ya  kuegesha magari  ipo kubwa  yenye  usalama  wa  kutosha
 Vyoo na bafu  la  kisasa kabisa
 Vyumba  vyetu ni  safi na bei  poa kabisa
 Vipo  vyumba  kuanzia  Tsh 8000 hadi Tsh 15,000
 Usafi  ni kawaida  yetu tembelea  leo  upata  usingizi mzuri 
 Majina ya  vyumba  vyetu kulingana na timu unayoipenda
Pia kuna  huduma  ya  vinywaji vya kila aina 

Wasiliana nasi kwa  namba  0754 48 93 59 au 0768 93 2536
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA