Home » » KIJANA MTUMIAJI WA DAWA ZA KULEVYA IRINGA AELEZA ALIVYOACHANA NA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA

KIJANA MTUMIAJI WA DAWA ZA KULEVYA IRINGA AELEZA ALIVYOACHANA NA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Friday, August 16, 2013 | 12:10 AM


Kijana  John Mtove   ni mkazi  wa mjini Iringa aliyepata kuwa mmoja kati  ya  watumiaji   wa madawa  ya  kulevya  aliyeamua  kuachana na matumizi  hayo na  sasa anahitaji  msaada  wa  wasamaria  wema kwa ajili  ya  kwenda  shule  kusoma ,aeleza  mengi  juu ya maisha  yake  na  sababu  za  kuacha  kutumia  madawa ya  kulevya .

Habari  hii  itakujia  wakati  wowote  hapa endelea kutembelea mtandao huu
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA