Home » » HUU NDIO UKWELI KUHUSU SHEKHE ISSA PONDA

HUU NDIO UKWELI KUHUSU SHEKHE ISSA PONDA

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Sunday, August 11, 2013 | 11:13 AM


 KATIBU WA JUMUIYA ZA KIISLAMU TANZANIA  SHEKHE ISSA PONDA NI KWELI HAPO JANA ALIPIGWA RISASI NA KWASASA YUPO HOSPITALI YA  RUFAA YA MUHIMBILI KWA MATIBABU ZAIDI NA SI KWELI KAMA YUPO CHINI YA ULINZI WA POLISI KAMA  SMS MBALIMBALI KUPITIA SIMU ZA VIGANJANI ZINAVYOSAMBAZWA.
PIA JUMUIYA NA TAASISI YA KIISLAMU TANZANIA LEO BAADA YA SWALA YA ALSIRI KATIKA MSIKITI WA MTAMBANI KINONDONI WATATOA TAMKO KUHUSIANA NA TUKIO HILO.(picha na S Magambo)
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA