Home » » MSAADA WAKO MDAU WANGU ......

MSAADA WAKO MDAU WANGU ......

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Friday, July 26, 2013 | 1:55 AM


Francis Godwin ::Mzee wa matukio daima::
Nasikitika  kuwataarifa  wadau  wangu  wote  kuwa  nimeibiwa  simu yangu yenye namba zote usiku  wa jana  hivyo sina  namba  yeyote ninayoikumbuka ombi langu kwako mdau ni  kuipata namba  yako tena  hivyo kwa  kuwa laini  zote  nimerudisha naomba  unitumia ujumbe mfupi (SMS ) namba  yako na jina kamili  kwa namba  zile  zile yaani 0712 750 199 na  0754 026 299 ili  nisikupoteze mdau  wangu Ahsante  

Imetolewa na  Francis Godwin mzee  wa matukiodaima
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA