Home » » MAFUNZO YA AWALI YA ASKARI POLISI NA UHAMIAJI YAFUNGWA NA DKT. NCHIMBI

MAFUNZO YA AWALI YA ASKARI POLISI NA UHAMIAJI YAFUNGWA NA DKT. NCHIMBI

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Friday, July 26, 2013 | 12:11 PM

IWaziri wa mambo ya ndani ya nchi mh, Dr. Emmanuel Nchimbi akikaribishwa na mkuu wa jeshi la polisi nchini katika viwanja vya gwaride katika chuo cha polisi moshi (ccp) jana mkoani kilimanjaro alipokwenda kufunga mafunzo ya awali ya askari polisi na uhamiaji. takribani askari polisi elfu tatu na tisini na mbili walihitimu mafunzo, wakiwemo askari wa uhamiaji 51
AWaziri wa mambo ya ndani ya nchi Mh, Dr. Emmanuel Nchimbi akikagua gwaride la wahitimu wa mafunzo ya awali ya askari polisi wakati wa sherehe za kufunga mafunzo hayo jana katika chuo cha polisi moshi (CCP). takribani askari polisi elfu tatu na tisini na mbili walihitimu mafunzo, wakiwemo askari wa uhamiaji hamsini na moja. picha na hassan mndeme-jeshi la polisi.
BAskari polisi waliohitimu mafunzo, wakionyesha pikipiki inavyoweza kusaidia katika kukabiliana na wahalifu kwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi mh, dr. emmanuel nchimbi aliyekua mgeni rasmi katika sherehe za kufunga mafunzo ya awali kwa askari polisi na uhamiaji jana mjini moshi. takribani askari polisi elfu tatu na tisini na mbili walihitimu mafunzo, wakiwemo askari wa uhamiaji hamsini na moja. picha na hassan mndeme-jeshi la polisi.
CWasanii wa kikundi cha ngoma cha chuo cha polisi Moshi wakitoa burudani jana mjini moshi wakati wa sherehe za kufunga mafunzo ya awali kwa askari polisi na uhamiaji. takribani askari polisi elfu tatu na tisini na mbili walihitimu mafunzo, wakiwemo askari wa uhamiaji hamsini na moja. picha na hassan mndeme-jeshi la polisi.
HWahitimu wa mafunzo ya awali ya askari polisi wakifanya onyesho la kareti  jana mjini moshi  wakati wa sherehe za kufunga mafunzo yaliyojumuisha askari polisi na uhamiaji. takribani askari polisi elfu tatu na tisini na mbili walihitimu mafunzo, wakiwemo askari wa uhamiaji hamsini na moja katika chuo cha polisi moshi (ccp). Picha na Hassan Mndeme-jeshi la polisi
JWaziri wa mambo ya ndani ya nchi mh, Dr. Emmanuel Nchimbi akimzawadia kirungu cha heshima mmoja kati ya wahitimu wa mafunzo ya awali ya askari polisi aliyefanya vizuri zaidi. Dr, Nchimbi alikua mgeni rasmi wakati wa kufunga mafunzo ya awali ya askari polisi na uhamiaji. takribani askari polisi elfu tatu na tisini na mbili walihitimu mafunzo, wakiwemo askari wa uhamiaji 51. picha na Hassan Mndeme-jeshi la polisi na  FullshangweBlog)
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA