Home » » KUTOKA MAKTABA YA MATUKIO DAIMA.COM LEO ,WIKI MOJA KABLA YA KIFO CHA MWANGOSI

KUTOKA MAKTABA YA MATUKIO DAIMA.COM LEO ,WIKI MOJA KABLA YA KIFO CHA MWANGOSI

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Tuesday, July 16, 2013 | 1:18 PM


Marehemu  Daudi Mwangosi (kulia) akiagana na mwanahabari Abdulazizi Video wa  Chanel Ten Lindi na mwandishi wa mtandao  huu  wa www.matukiodaima.com Lindi ,ikiwa ni wiki  moja kabla ya  kuuwawa kwake hapa  walikutana katika mafunzo kwa wanahabri  juu ya uandikaji wa habari za Sensa
 Marehemu Mwangosi  kulia  walioka akifuatiwa na mkuu wa  wilaya  ya Iringa Dr Leticia Warioba ,mkuu  wa mkoa wa Iringa Dr Christine Ishengoma , aliyekuwa katibu  tawala  wa mkoa  wa Iringa Mama Mpaka na mratibu wa Sensa na mtakwimu mkoa  wa Iringa Fabian Fundi

Viongozi  wa mkoa  wa Iringa katika  picha ya pamoja na  wanahabari
Wanahabari mkoa  wa  Ruvuma katika  picha ya pamoja na  viongozi wa  mkoa wa Iringa

 Viongozi mkoa wa  Iringa katika  picha ya pamoja na  wanahabari mkoa  wa Mbeya
 Viongozi  wa mkoa wa Iringa katika  picha ya pamoja na  wanahabari mkoa  wa Iringa  waliopata  mafunzo ya uandishi wa  sensa
Mkuu  wa mkoa wa Iringa Dr Ishengoma kushoto na mkuu wa wilaya ya  Iringa Dr Warioba  wakimsikiliza  marehemu Mwangosi (mezani ni kamera  yake ambayo ipo bado polisi)
 Marehemu Daudi Mwangosi akizungumza kwa mara ya mwisho na kundi la wanahabari nchini katika ukumbi wa Ruco ikiwa ni wiki moja kabla ya kifo chake (picha na maktaba ya www.matukiodaima.com)
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA