Home » »

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Sunday, July 14, 2013 | 7:58 AM

   

GARI LA KAMPUNI YA UJENZI WA BARABARA YA SUMBAWANGA - MBEYA LATEKETEA KWA MOTO

Gari la  kampuni ya  ujenzi  wa barabara ya lami kutoka  Mbeya -Sumbawanga  kiliendelea  kuteketea kwa  moto eneo la mpakani wa Mbeya na  Sumbawanga  jana kama lilivyokutwa na camera ya  mtandao  huu wa www.matukiodaima.com
 
 Hapa  gari  hilo  likiwa linamalizikia  kuwaka  moto huku lami  yote  ikiwa  imemwagika
 mmoja kati ya  wafanyakazi  wa kampuni  ya ujenzi wa barabara  ya  Mbeya -Sumbawanga akishuhudia gari hilo  likiwaka  moto  bila kuwepo kwa msaada  wowote  huku chanzo cha moto  huo kikitajwa kuwa ni matatizo ya  umeme wa gari
 
 
 
TUKIO HILI KWA UDHAMINI  WA LIGUNGA LODGE ,KARIBU SUMBAWANGA MKOA WA RUKWA KARIBU LIGUNGA LODGE SUMBAWANGA
 
 Uwapo  Sumbawanga mjini sehemu pekee ya  kupumzika kwa  sterehe  ni Ligunga  Lodge  ni  sehemu nzuri na yenye  mvuto  iliyopo katikati ya mji wa Sumbawanga mjini karibu na stendi  kuu
 Hakika  ukifika  katika Lodge  zetu  kamwe  hutasahauha raha  za Sumbawanga   karibu  leo ufurahie  usiku  wako na raha  za sumbawanga kwani vitanda  vyetu ni bora  zaidi
 Ligunga  Lodge ni zaidi ya moja  ila  huduma ni ile ile yenye ubora  zaidi
 Ukiwa ndani ya  Ligunga  Lodge  hakika  utapenda  huduma zetu
 Viongozi  wa  serikali na wageni  wasiopenda  shida  hufikia Ligunga Lodge  Sumbawanga nawe  karibu  leo
 karibu  furahia  huduma  zetu
 Huduma  zaidi ya  huduma kwetu


 karibu  Sumbawanga  karibu  Ligunga  Lodge  leo
Ni Lodge  zinazotambuliwa na serikari ya mkoa wa Rukwa usalama ni zaidi ya jeshi
Waweza  kupata mawasiliano yote  yakiwemo ya Net ndani ya  chumba chako bure kabisa kama unapenda kuungana na  wageni  wanaohufaika na huduma  zetu  tumia  mawasiliano haya  +2552802026 /2802734 au 0752510581 pia  waweza  piga namba 0752921308
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA