Home » » AJALI YAJERUHI VIBAYA IRINGA MCHANA WA LEO

AJALI YAJERUHI VIBAYA IRINGA MCHANA WA LEO

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Sunday, July 14, 2013 | 7:20 AM

 Daladala  yenye namba  T 977 BHV ikiwa  imeharibika  vibaya  baada ya  kupata ajali mbaya  eneo la Ilala Mwisho  wa lami mchana  wa  leo na  dereva  pamoja na abiria  mmoja  aliyekuwemo katika gari hilo kujeruhiwa  vibaya
 Daladala  hilo baada ya  kuinuliwa

Wananchi  wa Ilala  wakishuhudia ajali  hiyo 

 Askari wa  usalama barabara  akizungumza na baadhi ya madereva  wa  daladala  na  boda  boda  waliofika  eneo hilo akiwaasa  kuachana na mwendo kasi
 Hivi  ndivyo  daladala  hilo  linavyoonekana kwa  mbele 
 
 

Katika ajali  hii  dereva  na abiria  mmoja ambae  walikuwemo katika daladala  hii  wamejeruhiwa  vibaya  japo  taarifa  zinasema  kuwa  mmoja  kati ya majeruhi hao  hali yake ni mbaya  zaidi

TUKIO HILI  KWA  UDHAMINI LIGUNGA LODGE SUMBAWANGA NI SEHEMU PEKEE YENYE UBORA WA HALI YA JUU MKOA WA RUKWA
 Uwapo  Sumbawanga mjini sehemu pekee ya  kupumzika kwa  sterehe  ni Ligunga  Lodge  ni  sehemu nzuri na yenye  mvuto  iliyopo katikati ya mji wa Sumbawanga mjini karibu na stendi  kuu
 Hakika  ukifika  katika Lodge  zetu  kamwe  hutasahauha raha  za Sumbawanga   karibu  leo ufurahie  usiku  wako na raha  za sumbawanga kwani vitanda  vyetu ni bora  zaidi
 Ligunga  Lodge ni zaidi ya moja  ila  huduma ni ile ile yenye ubora  zaidi
 Ukiwa ndani ya  Ligunga  Lodge  hakika  utapenda  huduma zetu
 Viongozi  wa  serikali na wageni  wasiopenda  shida  hufikia Ligunga Lodge  Sumbawanga nawe  karibu  leo
 karibu  furahia  huduma  zetu
 Huduma  zaidi ya  huduma kwetu


 karibu  Sumbawanga  karibu  Ligunga  Lodge  leo
Ni Lodge  zinazotambuliwa na serikari ya mkoa wa Rukwa usalama ni zaidi ya jeshi
Waweza  kupata mawasiliano yote  yakiwemo ya Net ndani ya  chumba chako bure kabisa kama unapenda kuungana na  wageni  wanaohufaika na huduma  zetu  tumia  mawasiliano haya  +2552802026 /2802734 au 0752510581 pia  waweza  piga namba 0752921308
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA