Home » » SHABIBY LINE NI USAFIRI WA RAHA NA UHAKIKA KWA DAR, ARUSHA,DODOMA,MOROGORO N.K HAKUNA KUSHUKA KICHAKANI KUCHIMBA DAWA HAPA CHOO NDANI YA BASI

SHABIBY LINE NI USAFIRI WA RAHA NA UHAKIKA KWA DAR, ARUSHA,DODOMA,MOROGORO N.K HAKUNA KUSHUKA KICHAKANI KUCHIMBA DAWA HAPA CHOO NDANI YA BASI

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Tuesday, June 18, 2013 | 3:09 AM

Abiria  wakiwa  ndani ya basi la Shabiby Line ambalo ni  Full Luxury lenye  choo ndani na  huduma  nyingine  zote ndani
Shabiby Line linamadereva  wazoefu na makini katika barabara
Hii ni  choo iliyopo ndani ya basi hilo la Shabiby Line  Full Luxury
Mabasi yote  yawafanyakazi  wazoefu na  abiria  wengi  hupenda  kusafiri na kampuni ya  Shabiby  Line
Kila  wakati  safiri na Shabiby Line kwa  usafiri  wa uhakika na  salama zaidi
Shabiby Line  ni usafiri  wa uhakika na  salama usisumbuke kuuliza  usafiri ,uliza Shabiby Line ndilo  jibu lako
 Hakuna   shida ya kuomba  kushuka  kuchimba dawa choo  cha  kisasa ndani ya basi kipo 

Ratiba kamili ya Shabiby Line( Simu 0654 777774)

DAR- DOM 
Saa 12.00 Asubuhi
Saa 1.30( AINA  YA  BASI NI  SEMY LUXURY)
saa  3;10
4.10

Saa 5;20 (AINA YA BASI NI FULL LUXURY)
Saa 8;50 Semy LUXURY
DODOMA - SINGIDA ,ARUSHA  (AINA YA BASI  SEMY LUXURY )
kuondoka  saa 12 ;00 asubuhi 

DOM- MORO, CHALINZE , MOSHI NA ARUSHA 
Kuondoka  saa 12.00 Asubuhi Aina ya gari Semy Luxury (SIMU 0654 777773

 Kwa  mawasiliano  zaidi kwa Gairo Makao makuu 
Tel 0654 777772 DOM  0654 777774, DAR 0719777779 ARUSHA 0715422222

KARIBU  SASA  KATIKA  USAFIRI   SALAMA  WA  SHABIBY LINE USISUMBUKE KUULIZA USAFIRI ULINZA  SHABIBY KILA SIKU NA KILA  WAKATI  MTEJA KWETU NI SEHEMU YA FAMILIA 
........................................................................................................
 Shabiby ambaye ni mmiliki wa Kampuni ya Shabiby Line Bus Services, yenye mabasi ya Shabiby Line ameingiza mabasi 20 yenye uwezo mkubwa kuliko mwanzo.

Meneja usafiri wa Shabiby Line, David Isack Chitemo alisema: “Mabasi yao  ni ya uhakika, full air condition, yana vyoo, yamefungwa kipimo cha kudhibiti mwendo kasi. Kila basi lina madereva wawili, kwa hiyo usafiri ni uhakika.

“Usalama wa abiria ni asilimia 100. Abiria akiugua anatibiwa na kampuni yetu, ikitokea bahati mbaya mtu anapoteza maisha safarini, gharama za kusafirisha maiti zinafanywa kwa gharama ya kampuni yetu.”

Mbali na hilo, Shabiby ambaye ni Mbunge wa Gairo (CCM), amedhamiria kufanya makubwa kwenye zaidi katika sekta ya  usafiri nchini Tanzania na  kuwataka watanzania kuendelea  kujivunia kampuni  hiyo ya  kizalendo

.
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA