Home » » MWWANDISHI WA CHARLES HILILA WA CHANEL TEN SHINYANGA AFARIKI DUNIA LEO

MWWANDISHI WA CHARLES HILILA WA CHANEL TEN SHINYANGA AFARIKI DUNIA LEO

Written By mzee wa matukiodaima habari bila uoga on Wednesday, June 19, 2013 | 3:37 AM


Aliyekuwa Mwandishi wa habari wa Kituo cha Channel ten Bw.Charles Hilila amefariki dunia  saa saba usiku katika Hospitali ya mkoa wa Shinyanga ambako alikuwa amelazwa kwa ajili ya kupatiwa matibabu ya homa ya Malaria iliyokuwa ikimsumbua kwa muda wa siku chache zilizopita...MUNGU AILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU CHARLES HILILA ,AMENI 
Share this article :

Post a Comment

 
blog designer Hoseaplatnum
Copyright © 2013. MATUKIO DAIMA - All Rights Reserved
Template Created by Hoseaplatnum Published by Francis Godwin
Proudly powered by FREE COMMUNITY MEDIA